Saturday, August 17, 2013

Pumziko La Week end! PHD......Enjoy!!

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.

Wednesday, August 15, 2012

TP Mazembe walipopambana na Simba Uwanja wa Taifa. Mechi hiyo ndio iliyomuibua Mbwana Samata anaeonekana Lulu huko DRC kwa TP Mazembe.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Mpira ni mchezo unaopendwa na Marika yote. Si unamuona huyo Bibi. Ni mshabiki mkubwa wa Simba Sports Club hapo anafuatilia mpambano wa moja ya Mechi kubwa.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Uvuvi huu Mawimbi yakicharuka Baharini ni hatari kubwa.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Padre Mbena akiwa na Mheshimiwa Polycap Kardinali Pengo mara baada ra kumpa daraja la Upadre.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Padre Mbena kushoto alipopewa daraja la Upadre katika Parokia ya Sinza. Vipi Padre Mbena upo wapi ? bado upo Ujerumani Ndugu zako wa Matombo wanaku miss

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

baba Paroko Padre Beno Kikudo wa parokia ya Kibaha alipoungana na Jumuiya ya Wababa ( UWAKA ) walipotijoa kupeleka Mchango wao wa kujenga Nyumba ya Mapadre unayoiona hapo chini. Sasa hivi inaandaliwa ratiba kamati ya Ujenzi itakabidhi Halmashuri ya Kigango tarehe 26 August na baadae ikabidhiwe kwa Paroko.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Nyumba hiyo ni matokeo ya Harambee iliyofanyika mwezi May na Kigango cha Kanisa Katoliki la Kiluvya. Hii ni Nyumba ya muda ya Mapadre.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Uwanja mpya wa Songwe ulioko Mbeya. Si mchezo !!

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Wanasubiri Usafiri Kituoni Mbezi ya Morogoro Road.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa
 
Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Barabara zinapotengenezwa huwa kero ila zinapokamilika huwa kicheko. Hapo Kimara kuna kazi kubwa inayofanyika kutengeneza barabara. Panajengwa kituo kikubwa na Daraja

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Mashabiki wakifuatilia Moja wapo ya Mechi Muhimu za Mpira ndani ya Kiluvya Pub.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Mdau, hivi unajua asili ya Eneo unaloliona kuitwa Picha ya Ndege? Hiyo alama ya ndege unayoiona hapo ndio sababu ya kuitwa Eneo hili la Kibaha kuitwa Picha ya Ndege. Ukipita Eneo hilo iangalie utaiona.imetengenezwa na kuwekwa na Mdau mmoja Mbunifu.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Fr. Christian Likoko ( Mufti ) wa kwanza kulia vipi umesharudi Rome au bado upo kwa Mafarao ?

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Unapobadilishana mawazo na Balozi wa Msumbiji Mhe. Balozi Kupela.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Fr. Makubi Upoo ? Vipi huko Rome ni kula Bata au kitabu kwa sana.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa
 
Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa
 
Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Monday, May 14, 2012

Tarehe 06/05/2012 Waamini wa Kanisa Katoliki Kigango cha Kiluvya, Parokia ya Kibaha walifanya Harambee ya kuchangia Pesa kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba ya Mapadre.Hapo Paroko Fr. Beno Kikudo akitangaza Jumla ya Michango iliyofikia Milioni 53 na Ushee. kati ya hizo Cash iliyopatikana siku hiyo ni Milioni 47 na ushee zilizobakia ni Ahadi. Fuatikia katika Picha uone ilivyokuwa.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Wanajunuiya wakiongozwa na watoto wao wanaenda kutoa Mchango wao.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mtakatifu Rafael mama Rose Mbiliny akiwasilisha mchango wao wa Milioni 6,953,100/= huku Mshereheshaji Ndugu Joseph Mmbando akishabikia. Jumuiya hii kama kawaida imeongoza kwa mara nyingine.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Jumuiya hiyo wamechangia Milioni 2,070,000/= wameshika nafasi ya 8 Kijumuiya.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Kwaya ya Watakatifu wote wakitoa Mchango wao wa shilingi Laki 210,000/=

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Kwaya ya Mt. Yosephu wakienda kutoa mchango wao wa shilingi Laki 125,000/=

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

Mwenyekiti wa Parokia Ndugu Kessy akifuatilia matukio huku Paroko Fr. Beno Kikudo akifurahia.