Monday, May 14, 2012

Tarehe 06/05/2012 Waamini wa Kanisa Katoliki Kigango cha Kiluvya, Parokia ya Kibaha walifanya Harambee ya kuchangia Pesa kwa ajili ya Ujenzi wa Nyumba ya Mapadre.Hapo Paroko Fr. Beno Kikudo akitangaza Jumla ya Michango iliyofikia Milioni 53 na Ushee. kati ya hizo Cash iliyopatikana siku hiyo ni Milioni 47 na ushee zilizobakia ni Ahadi. Fuatikia katika Picha uone ilivyokuwa.

 


Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.