Monday, May 14, 2012

Mwenyekiti wa Parokia Ndugu Kessy akifuatilia matukio huku Paroko Fr. Beno Kikudo akifurahia.

 


Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

1 comment:

  1. mm ninaitwa mama B. ni mteja wenu mzuri sana. Kwakweli ni sehemu nzuri ambayo mtu unapata starehe nzuri hasa kama mm ninayependa muziki mnajitahidi sana kwa kweli. Ila ndugu sehemu yako iko finyu sana ongeza pawe pakubwa kidogo. halafu kule chooni paweke vizuri. choo chako ni kikubwa ndio lakini weka kwa kisasa kidogo. nikiongea hivyo wewe unaelewa. ni hayo tu asante.

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.