Friday, December 23, 2011

Merry XMAS KP Fans!

Burudisho swafi kusheherekea sikukuu ya Noeli, bwaga moyo chini, pumzika, samehe waliokukosea, mpe zawadi umpendaye hata usiyempenda, jenga urafiki na jirani yako hata maadui zako maana maana ya maisha aijuaye ni Mola, maisha ni mafupi ila yana maana kama ukiishi kwa KUELEWA. Xmas familia kwa mara ya kwanza ndani ya miezi 12 zikae pamoja kwa amani na kupata mlo kwa pamoja huku tukimshukuru Mungu kwa kutuweka hai ndani ya mwaka huu maana tumekumbana na mengi tena mazito lakini Hooray tupo hai na Xmas unaiona.

ENJOY ENJOY ENJOY ENJOY ENJOY ENJOY ENJOY






Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.

1 comment:

  1. NANUKUU "Burudisho swafi kusheherekea sikukuu ya Noeli, bwaga moyo chini, pumzika, samehe waliokukosea, mpe zawadi umpendaye hata usiyempenda, jenga urafiki na jirani yako hata maadui zako maana maana ya maisha aijuaye ni Mola, maisha ni mafupi ila yana maana kama ukiishi kwa KUELEWA."Mwisho wa nukuu...Nimeupenda ujumbe huu nami nasisitiza ni kweli kabisa hasa hapo kwenye kusamehe...Noeli njema kwa wote

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.