Unajua mi nikikuambia hiki Kituo si mchezo unawezasema nakifagilia tu. nasema hivi muulize Charles HIllary au Israel Saria au Hassan Mhelella. kama utaona hao watatia chumvi muulize Mkurugenzi wa BBC Bwana Solomon Mugera. Pub sio mchezo bwana. hata Lubunga Byaombe mpigie umuulize au Ismael Misigalo. Hata Said Yakubu muulize ukionana nae wote hao watakupa sifa za Kituo hiki.
No comments:
Post a Comment
Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.