Saturday, January 07, 2012


Kama kawaida ya Kiluvya Pub watoto tunawajali kwa kuwapa muda maalum ili nao waburudike kufurahia sikukuu za mwisho wa mwaka.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.