...katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote..' Nimeipenda hii `kwa kasi ile ile'...Insha-ALLAH,siku tutatinga hapo kwani naona mambo yake ni burdani kwa saana.
Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.
Kibao kina ujumbe murwa kweli. Ahsante!!
ReplyDelete...katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote..'
ReplyDeleteNimeipenda hii `kwa kasi ile ile'...Insha-ALLAH,siku tutatinga hapo kwani naona mambo yake ni burdani kwa saana.