Saturday, March 05, 2011

Pumziko la mwisho wa wiki

Jamani nyumbani kuna raha yake mambo ya khanga na vitenge na maneno ya Pwani, radha TULIIIVU ndani ya uwanja wako swafi kwa mashembenduzi ya kuigwa.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.





2 comments:

  1. ...katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote..'
    Nimeipenda hii `kwa kasi ile ile'...Insha-ALLAH,siku tutatinga hapo kwani naona mambo yake ni burdani kwa saana.

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.