Thursday, February 17, 2011

Poleni sana ndugu zetu wa Gongo la Mboto

Uongozi mzima wa KP kwa huzuni kabisa unapenda kutoa pole kwa wale wote waliojeruhiwa na janga la mabomu yaliyolipuka huko Gongo la Mboto usiku wa kuamkia leo.

Suala hili si la mtu ni suala la Taifa zima, wote tupo pamoja na tunamshukuru Mh Rais kuwa karibu na suala hili.

Tuwe na utulivu ajali imeshatokea, tuungane kuwatafuta ndugu waliopetezana pia ongozi husika tunawaomba tuwahakikishie raia hali hii haijirudii tena, si vyema tatizo lijitokeze mara kwa mara halileti picha nzuri si kwa Taifa tu bali Kimataifa pia.

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.