Friday, August 13, 2010

Mwezi mtukufu wa Ramadhani


RAMADHAN KARIM!
MENEJIMENTI YA KILUVYA PUB INAWATAKIA HERI WAISLAMU ULIMWENGUNI KOTE KATIKA KIPINDI HIKI CHA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN. NAIBU MWENYEKITI MAMA GOODLOVE LUANDA ANATOA SALAAM HIZO KWA NIABA YA MENEJIMENTI NZIMA YA KILUVYA PUB.
Posted by Picasa

2 comments:

  1. kila la kheri waislamu wote ulimwenguni. Tupo pamoja. Upendo Daima.

    ReplyDelete
  2. Inaonekana zilikuwa salamu za baraka tele,haya na mimi naungana na waliotangulia katika kuwatakia Waislamu wote Ulimwenguni mfungo mwema.

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.