Friday, August 13, 2010
Mwezi mtukufu wa Ramadhani
RAMADHAN KARIM!
MENEJIMENTI YA KILUVYA PUB INAWATAKIA HERI WAISLAMU ULIMWENGUNI KOTE KATIKA KIPINDI HIKI CHA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN. NAIBU MWENYEKITI MAMA GOODLOVE LUANDA ANATOA SALAAM HIZO KWA NIABA YA MENEJIMENTI NZIMA YA KILUVYA PUB.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kila la kheri waislamu wote ulimwenguni. Tupo pamoja. Upendo Daima.
ReplyDeleteInaonekana zilikuwa salamu za baraka tele,haya na mimi naungana na waliotangulia katika kuwatakia Waislamu wote Ulimwenguni mfungo mwema.
ReplyDelete