Friday, August 13, 2010


Mwezi huu wa August Wadau na Wapenzi wakubwa wa Kiluvya Pub, Bwana Charles Hillary Mtangazaji Mwandamizi wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, London na Bwana Bakari Msulwa ambaye ni Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili huko Tokyo Japan kwa wakati tofauti wampekitembelea Kituo chao wanachokipenda cha Kiluvya Pub. Wewe unangoja nini? usikose kusimuliwa Njoo mwenyewe Uburudike kwa Muziki unaopigwa kwa Mashine za hali ya Juu.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.