Thursday, August 19, 2010

Happy birthday Clara

Bibie Clara, Eric pamoja na bibie Irene toka Benin central afrika pamoja na watoto wake wote wakiwa wenye furaha kumpongeza bibie Clara katika siku yake ya kuzaliwa ambayo imefanyika katika Chinese resturant Wu-T Buffet Westfield, Happy birthday Clara.

Model Nicole mwenye asili ya kijamaika na bibie Susane Mtanzania aishie Uingereza wote pamoja walijumuika kumpongeza bibie Clara kama wanavyoonekana wenye nyuso za furaha.

Model Sameera, birthdaya girl na bwana Eric, wakijiandaa kukata Cake.

Bwana Eric na birthday girl.
Happy faces, hata ndugu zetu wa sudan nao walijumuika, bwana Salah na mke wake Muhindi bibie Ballie



Bwana Kadi Kadima Somo somo Mkongo na bibie Salma Mtanzania wote wakiwa na furaha muda wa Champagne.

















Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.

4 comments:

  1. mdogo wangu Erick nimekuona kwa kasi kubwa sana!!!

    ReplyDelete
  2. Ha ha haa hapana bro! Ni vizuri kuishi na watu vyema inchi ya watu hii, nimefurahi upo hewani.

    ReplyDelete
  3. Bwana Eric vipiiii na models???pirating haah!

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.