
Bibie Clara, Eric pamoja na bibie Irene toka Benin central afrika pamoja na watoto wake wote wakiwa wenye furaha kumpongeza bibie Clara katika siku yake ya kuzaliwa ambayo imefanyika katika Chinese resturant Wu-T Buffet Westfield, Happy birthday Clara.

Model Nicole mwenye asili ya kijamaika na bibie Susane Mtanzania aishie Uingereza wote pamoja walijumuika kumpongeza bibie Clara kama wanavyoonekana wenye nyuso za furaha.

Model
Sameera, birthdaya girl na bwana Eric, wakijiandaa kukata Cake.

Bwana Eric na birthday girl.

Happy faces, hata ndugu zetu wa sudan nao walijumuika, bwana Salah na mke wake Muhindi bibie Ballie


Bwana Kadi Kadima Somo somo Mkongo na bibie Salma Mtanzania wote wakiwa na furaha muda wa
Champagne.
mdogo wangu Erick nimekuona kwa kasi kubwa sana!!!
ReplyDeleteHa ha haa hapana bro! Ni vizuri kuishi na watu vyema inchi ya watu hii, nimefurahi upo hewani.
ReplyDeleteHongera kwa siku ya kuzaliwa!
ReplyDeleteBwana Eric vipiiii na models???pirating haah!
ReplyDelete