Monday, February 13, 2012


ZAMBIA OYEEEEEEE !!!!!!!!!

Nilizitembelea Ofisi za Zambia Football Federation kwa kutambua kazi nzuri wanayoifanya kusimamia Mpira wa Miguu nchini kwao. Hatimae wameweza kuibuka Machampion wa Africa. Hongera sana Zambia.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.