Monday, January 23, 2012


Soko kubwa la kisasa linajengwa huko Mtamba, Matombo Morogoro. wananchi wamejawa na furaha ya matumaini kwa maana litakapokamilika watauza mazao yao ndani ya soko hilo kuliko ilivyo sasa. Mheshimiwa Rais Kikwete alikuwepo huko kuweka Jiwe la Msingi.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.