Friday, February 24, 2012

Wadau wa Kiluvya pub, wakijadiliana masuala mbali mbali juu ya kuboresha Kiluvya pub..Katika picha ni muasisi wa Blog hii Israel saria, Muhidin Michuzi na Mariaam Komanya, wakiwa na mkurugenzi wa kiluvya Pub. Mr Robert Luanda












Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.