Wednesday, February 29, 2012

Burudika na Muziki wa Pwani ya Afrika ya mashariki

Ukiangalia kwa mtazamo wa karibu kabisa muziki wa afrika ya mashariki unafanana kimaudhui na Muundo ila cha kufurahisha zaidi ni pale Kiswahili kinapokuwa main language, inakuwa rahisi kujua mengi na kuufurahia muziki haswa kwa wale ambao lugha ngeni ni tatizo, tujitahidi kuimba kwa lugha inayoeleweka na wengi kama lengo ni kuwafikia Locals. Enjoy!!


PHD - Mombasa Queen






Alicios ft Juliana Mpita Njia



Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.