Sunday, February 13, 2011

Happy Valentines Day! Karibu KP




Kiluvya Pub inawatakia watu wote kheri ya Valentines Day, kutakuwa na mambo makali na nyote mnakaribishwa kama ilivyo tamaduni yetu na Djs wakali na vinywaji vya kila aina pamoja na maakuli.

Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.

1 comment:

  1. Kheri ya Valentines Day nawe pia na familia yako na pia watu wote watakopita hapa...

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.