Sunday, January 02, 2011


Happy Birthday Mama Luanda anamlisha keki mume wake Mr. Luanda
Posted by Picasa

1 comment:

  1. Haya bana mpenz wa Arsenaliiiii, happy birthday baba, naona mama hakuachilii safi sana, mimi Chelse bana, Mungu akupe afya njema na maisha marefu zaidi, elewa yakwamba wote tunakupenda na tupo pamoja. Son

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.