HAPPY BIRTHDAY. Mr. Robert Luanda!
Ndivyo anavyoonekana kusema Mr. Godfrey Mafwele.
Tarehe 01 January ni Birthday ya Mr. Luanda. Familia yake wameandaa Hafla ndogo kumpongeza. Pia kumpongeza kwa kutunukiwa Nishani na Rais ya Utumishi Uliotukuka wa muda mrefu na Tabia Njema.
Hongera kwa kutimiza miaka ma kutunikiwa nishani.
ReplyDelete