Birthday boy...., akijiandaa kukata Cake ambayo ndogo kwa kuiangalia lakini mmhh imegharimu...
Kutoka kushoto ni Dj 50! Jina halisi Salah, Eric (birthday boy), Clara na Ellen, marafiki wa karibu na muheshimiwa Eric
Si mchezo zawadi ni kitu muhimu katika sherehe kama hizi, kama inavyoonekana bwana Eric akijaribu ndula aliyonunuliwa kama zawadi ya birthday na partner wake.
Kama waswahili wasemavyo kipya kinyemi, ndivyo inavyoonekana bwana Eric akiwa na furaha tele.
Bibie Sameera akimpa birthday-Hug birthday boy!!!
Muziki mkali na Dj50 akiwa na mke wake bibie Bally, akiwarusha watu wote nyumbani kwa Eric
Birthday boy akiwa katikati ya dance floor kuonyesha vituz vyake
Bibie Michelle naye akiwa na furaha, alidai hakuwahi kuona mziki mkali kama uliokuwepo siku hiyo, yote asili yake ni Kiluvya Pub.
Hapo bwana Eric akinong'onezwa kitu, wapendanao kama inavyoonekana kila mtu na wake LOL
'There is nothing that makes the world the better place to live in without you!! Thank you all for being so kind and make me feel i am not alone, no matter what happens and where i am i still have the full package family...........Bless you all and have fun'. Maneno hayo yalisemwa na bwana Eric kuwashukuru watu wote kwa kufanya siku hiyo Colourful and memmorable.
Burudika na kibao hiki ambacho kilipendwa na wengi siku hiyo ingawa hawaelewi lugha lakini walijirusha na kukisifia.
Chap Chap - Babe Cool Ft. AY
Hahahaa sawa bana!!nawakubali Kiluvya Pub.
ReplyDeleteHongera kwa siku ya kuzaliwa Eric na Mwenyezi Mungu akujalie maisha mema.
ReplyDeleteThanks Yasi, kuzaliwa si tatizo bali tatizo ni kuyakabili maisha, it was a good and a fun day for me, Thank God i am still healthly well.
ReplyDeletemmmhh! unataka kuyabadili maisha yako? shukrani kama ulikuwa na wakati mzuri. Na ni kweli ni jambo la kumshukuru mwenyezi mungu kuwa una afya njea:-)
ReplyDeleteKiluvya Pub na uongozi mzima unapenda kumpongeza bwana Eric na Mungu ampe maisha marefu zaidi yenye furaha tele.
ReplyDelete