Tuesday, November 23, 2010
Watalii toka ng'ambo (Bondeni kwa Madiba) ndani ya KPub!!
Kiluvya Pub bwana Wee acha tuu. Hawa jamaa kwa Gafla bin Vuu wamestukiwa wametinga Pub.
Heti wanasemaje? wameona mambo yake wakiwa kwao South Africa kupitia Website hii.
Walipofika Tanzania kitu cha kwanza ni kutafuta ilipo Kiluvya Pub hadi wamefika.
wamejitambulisha kutoka kushoto JURI, ELLIS NEALL, JEEANAMEN, HENDREI VORSTER, na JASSON BOSHOFF.
Walistarehe na kucheza Muziki hadi walipoombwa radhi kwamba Muda wa kufunga umefika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ahsante kwa kunikumbusha nyumbani na hizo chupa za safari:-)
ReplyDelete