Monday, May 14, 2012

Watangazaji Maarufu wa Radio Tumaini hususan kipindi cha hapa na pale Gaudence Hyera na Domina Rwemanyira. walihudhuria Harambee ya kuchangia ujenzi wa Nyumba ya Mapadre ya Kanisa Katoliki kigango cha Kiluvya. hapa wamo ndani ya nyumba hiyo inayotegemewa kukamilika baada ya Harambee hiyo

 


Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.