Monday, May 14, 2012

Baadhi ya wageni waliohudhuria Harambee ni Bwana na Bibi Joe Nyingo kulia na kushoto . Mama Bora Nyingo akitoa ahadi ya kuchangia ujenzi wa nyumba ya Mapadre shilingi taslim milioni 4 na laki 2. Mungu awabariki sana .

 


Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.