Friday, April 27, 2012

Martha Luanda wa tatu toka kulia waliosimama na mwenzake Sudah Lulandala wote kutoka Ofisi ya Rais Mipango Cluster ya Kimataifa wakiwa na Wanazuoni wengine kutoka Nchi za Afrika Mashariki na Kati walipokuwa kwenye Kozi fupi huko Dubai hivi karibuni.

 


Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.