Friday, March 09, 2012

Kijiji cha Kiwangwa huko Bagamoyo ni maarufu sana kwa zao la Mananasi. Kiluvya Pub mbali na Kuburudisha hupenda pia maendeleo kwa jumla ikiwemo Kilimo. Hapo ni ziara maalum kuofuatilia sifa za Kiwangwa kuwa ni zaidi kwa zao la Mananasi.

 


Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.