Sunday, March 18, 2012

Huyu jamaa nafikiri anaenda Sokoni kubeba Mihogo ya kutoka Naliendele. kwa Wadau wetu msiojua Naliendele, ni sehemu maarufu iliyopo Mtwara ambako ni kituo cha utafiti wa zao la Muhogo pia zinabanguliwa Korosho za Grade ya juu sana.

 


Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.