Sunday, March 18, 2012

Happy Birth Day Bi Mary ( Mama Kobello Jr. ) Sherehe ya kufana imefanyika katika Ukumbi wa YUMMIE ! huko Kinondoni Vijana. kumpongeza Bi Mary kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa. sherehe imehudhuriwa kwa wingi na Wanachuo wa mwaka wa Pili Diploma ya Secretarial Duties Cguo cha Magogoni DSM

 


Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.