Saturday, February 18, 2012


Wana Jumuiya baada ya kazi ya kufanya usafi na kuandaa kanisa tayari kwa ibada ya Jumapili wanapata Chai ya asubuhi kwa pamoja. Sifa ya Jumuiya ya Mt. Rafael ni kwamba wapo mbele kwa kila jambo mfano Michango mbalimbali ya Kanisa, Harambee za Ujenzi wa Kanisa na hata kushirikiana katika shida na Raha ndani ya Jumuiya yao.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.