Saturday, February 18, 2012


Waamini wa Jumuiya ya Mtakatifu Rafael ( Malaika Mkuu ) Kanisa Katoliki Kigango cha Kiluvya parokia ya Kibaha, wakiwa katika zamu ya kufanya Usafi wa Kanisa lao. kushoto ni mama Luanda . na mimi nilikuwepo. Kigango cha Kiluvya Jumapili ya tarehe 29 Aprill 2012 watakuwa na Harambee ya kuchangia pesa kwa ajili ujenzi wa nyumba ya Mapadre. Harambee iliyopita Jumuiya hii walichangia Milioni 8 na ushee.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.