Monday, January 23, 2012


Unaiona Nyumba hiyo ipo Mtamba huko Matombo Ni Ofisi ya CCM iliyorithiwa kutoka TANU. ilifunguliwa na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere mwaka 1964 mie nilikuwepo siku hiyo. Paa lake limechakaa sasa inakarabatiwa upya.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.