Friday, April 27, 2012

Martha Luanda na Sudah Lulandala wakirudi kutoka Ughaibuni ( Dubai ) walikoenda kwa Kozi fupi ya Strategic Negotiations..Martha na Suda ni Watumishi Ofisi ya Rais ,Mipango Cluster ya International Trade and Economic Relations.

 


Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.
Posted by Picasa

1 comment:

  1. Heroes take journeys, confront dragons, and discover the treasure of their true selves.

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.