Sunday, January 08, 2012


Shindano la Kanga liliambatana na burudani. Kwaito ni mtindo unaopendwa sana na marika yote hasa jinsia ya kike,.Lillian Kaiza Goodlove Luanda Mary Mziray na wengine wengi wakicheza Kwaito wakati washindani wa kanga wakijiandaa kwa hatua nyingine.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.