Friday, October 07, 2011

 


Unapokuwa ndani ya Kiluvya Pub kama hutajisikia kucheza Muziki wake ujue mwili haupo sawa. Ni lazima utanyanyuka tu.Muziki wake unachujwa kwa Mashine za hali ya juu.
Posted by Picasa

1 comment:

  1. Salute kwa Wazee wangu hawa,I wish ningekuwa kati yao hapo

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.