Mr. Khatibu Makenga Afisa Itifaki kutoka Mambo ya Nje wa kwanza Kulia anamsimulia Mr. Jacob Msekwa ( wa pili pande zote ) Afisa Ubalozi wa Tanzania Sweden sifa za Kiluvya Pub. Ndugu Msekwa anatarajia kutua Bongo hivi karibuni. anasema lazima atinge Kiluvya Pub. Menejimenti ya Kiluvya Pub wapo tayari kukupokea.
No comments:
Post a Comment
Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.