Zamani Timu za Yanga na Simba zilikuwa na Wanachama wenye mapenzi makubwa kwa Timu hizo. Waliweza hata kujenga Nyumba kama Ofisi pia kama kitega uchumi. walijenga kwa michango yao wenyewe na kujitolea nguvu zao. hapo ni Nyumba ya wanachama wa Simba ( SSC )huko Lindi.
No comments:
Post a Comment
Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.