Tuesday, September 20, 2011

 



Kanisa Katoliki Kigango cha Kiluvya Parokia ya Tumbi , Kibaha Huvi karibuni waliendelea na Mikakati yao ya kuandaa Harambee za kuchangia Ujenzi wa Kanisa lao. Pesa Taslim Shilingi Milioni 53 zilichangwa na Waamini wake.
Sasa hizi wanajiandaa kwa ajili Ujenzi wa Nyumba ya Mapadre.Mambo yakikamilika tutawaomba wadau wote wenye mapenzi mema wataopenda kutuunga mkono tutawaomba wafanye hivyo.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.