Friday, May 27, 2011

Je Mwamkumbuka huyu?

Mh. Rashid Mfaume Kawawa akiwa na Mh. Israel Saria ndani ya jiji la London enzi za uhai wake, Daima tutakukumbuka baba.


Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.