Monday, March 21, 2011

 


Mdau Charles unaikumbuka siku hiyoo?
Posted by Picasa

1 comment:

  1. a nakumbuka saana, siku hiikuwa nadhani ni siku za mwao kufahamiana na Israel Saria. Duuu kumbukumbu nzuri. Tulipiga nyama ya mbuzi kwa saaana tena mbuzi wa Kongwa na baadae nikapiga picha na marehemu mzee Kawawa(Mungu amlaze mahala pema)Pia na marehemu Mohammed naye Mungu amlaze mahala pema. Hizi kumbukumbu kaka niwekee nazihitaji nami.
    Halafu angali ni miaka kama minne na ushei, lakini kwa sasa hivi tumebadilika sana. Inahitajika kuwa na wasidizi kama wanne kurejesha hali.

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.