Monday, March 21, 2011

 


Jabali hili ukiliona kwa karibu kwakweli hutashindwa kustaajabu maajabu ya Uumbaji wa Mungu. hapo limechukuliwa kwa juu. ukiliona kuanzia chini Duuh, linatisha. lipo kijiji cha Nyangalakwa Costa Kalipeni huko Matombo Morogoro. Linapendeza sana ukiliona na kwa karibu.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.