Wednesday, March 30, 2011

 

Great Wall of China ni Ukuta unaovutia sana Watalii. kufika kileleni unalazimika kutembelea kwa zaidi ya saa sita. vinginevyo unaweza kufika kwa kutumia Vigari hivyovinavyopita kwenye Nyaya za umeme.

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.