Tuesday, January 04, 2011
Hongera bibie Martha Luanda kwa kuhitimu Degree
Tareha 18 Desemba 2010, Martha R. Luanda amepata Nondo yake( Bachelor Degree in Economics) katika mahafali iliyofanyika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Jijini Dar Es Salaam. Martha akiwa katika Picha ya Pamoja na wazazi wake Bw. & bibi Luanda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongera Martha!
ReplyDeletePongezi kwako Martha kwa hapo ulipofikia. Nakutakia kila jema na nasema tena HONGERA. Pia hongera wazazi kwa kazi kubwa mlioifanya na bila kusahau walimu.
ReplyDeleteHongera dada yangu!! Naona wazee wamekuweka kati, safi sana Elimu ya Juu si mchezo bana si unajua, unacho cha kujivunia, sasa kazi kwenda mbele, safi sana sis i am so very proud of you.
ReplyDeleteBig up Mdogo wangu,safari ndo kwanza imeanza hapo mpango uwe mbele kwa mbele.
ReplyDeleteHongereni Wazazi pia kwa kumuwezesha Martha kufika hapo,sote tunafahamu kuwa shughuli yake haikuwa ndogo,it is a bigger investment more than Kiluvya Pub and/or any other business you may be conducting.
Vipi mwenyewe hata ku-log in aangalie pongezi na ku-comment back?????
ReplyDeleteHongera sana Martha ..
ReplyDelete