Tuesday, November 23, 2010

 


WAWATA [Wanawake Wakatoliki Tanzania] Parokia ya Tumbi Kibaha pamoja na Baraza zima la Walei na Wageni wengine waalikwa wa Parokia ya Tumbi, Kibaha wanaonekana katika Picha wakimpa zawadi aliekuwa Paroko wa Tumbi Fr. Allister Makubi.
Tukio hilo lilifanyika wakati wa Hafla fupi na nzuri ya kumuaga Padre wao ambaye amehamishiwa Kanisa Kuu La St. Joseph, Dar es Salaam. Sherehe ilifanyika ndani ya Ukumbi wa Parokia ya Kibaha.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.