Fr. Allister Makubu ambaye sasa ni Parish Priest wa Kanisa Kuu la St. Joesph Dar es Salaam. anapokelewa na Masista wa Parokia ya Tumbi Kibaha ambako alikuwa Paroko kabla ya kuhamishiwa St. Joseph. Fr. Makubi alifika Parokiani Tumbi kwa ajili ya sherehe iliyoandaliwa na Baraza la Walei kumuaga rasmi.
No comments:
Post a Comment
Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.