Sunday, October 17, 2010

Burudika na "Nimefulia Na Mambo Jambo"



Video ya wiki, kwani miongoni mwa wengi neno KUFULIA ni la kawaida, tupo na tunaishi maisha ni mchaka mchaka, Enjoy!! Mambo haya yote ni kwa hisani kubwa ya wadau wote wa Kiluvya pub.

2 comments:

  1. ahsante kwa kiburudisaho hiki. Maisha haya jamani ....

    ReplyDelete
  2. Maisha si rahisi Yasinta! kila kukicha ni mchaka mchaka mwisho wake ulichokipata unamshukuru Mungu, Kwangu kazi ni Uhai.

    ReplyDelete

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.