Mgeni rasmi katika Harambee hiyo Mhe. Balozi Amour Zacharia Kupella akiwasili Viwanja vya Kiluvya . Kushoto ni Engineer Mark Njiu ambaye ndie Msimamizi Mkuu wa Ujenzi tangu Kanisa hadi sasa Nyumba ya Mapadre. Katikati yao ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi Ndugu Robert Luanda,. Kulia kabisa ni ndugu Venance Mkude mwenye suti Nyeusi, mama Hilda Banda , Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kigango cha Kiluvya akiwa na Mgeni wake Mama Balozi.
No comments:
Post a Comment
Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.