Friday, January 21, 2011



Ngoma za Asili ni moja ya Burudani kwa Utamaduni wa Watanzania.
Zinachezwa hasa baada ya Mavuno kwa makusudio Maalum. Pichani hiyo ni ngoma ya kunema Mwali kwa utamaduni wa Waluguru.
Aisee ukiwepo kama hutaweza kujitikisa basi ujue U Mgonjwa. Mimi mwenzenu nilicheza sana siku hiyo. Niliikuta jirani na Nyumbani kwangu huko Kijijini.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.