Friday, January 21, 2011


Mwalimu J. Nchimbi amevutiwa sana na umahiri wa Uimbaji wa Kwaya ya Kanisa Katoliki , Matombo.
Hapo anatoa zawadi ya Uniform Mashati 40 kwa kuyakabidhi kwa Paroko Msaidizi Fr. Mogella wakati wa Ibadaya kumbukumbu ya Mama yetu Martha Binti Moto.Wanakwaya ya Matombo walikuwepo kwenye Mkesha kama wanavoonekana pichani.
Posted by Picasa

No comments:

Post a Comment

Weka Maoni Yako Hapa tafadhali,Wengi tunakubaliana na kauli ya kuwa mteja ni mfalme, katika Kiluvya tunasisitiza haki na heshima kwa wafanyakazi wetu pia, huku tukiamini nasi pia tunastahili kuangaliwa kwa kasi ile ile tunayoyowaangalia wateja wetu wote.karibuni sana.