Mwaka Mmoja umepita tangu Mama yetu Mpendwa alipoaga Dunia.
Tumemkumbuka kwa Adhimisho la Misa Takatifu iliyosomwa na Padre Mogela wa Parokia ya Matombo iliyofanyika Kijijini Konde huko Matombo Morogoro. Raha ya Milele Umpe Ee bwana na Mwanga wa Milele umuangazie. Apumzike kwa Amani. Amina.
Marehemu astarehe kwa peponi amani . Amina
ReplyDelete